• Home
  • About

Baada ya nywele sasa Jokate Mwengelo aja na bidha nyingine za ndala zicheki hapa.

 Mwana dada star katika Industry ya burudani bongongo Jokate Mwengelo ame amua kuja na product zake zingine baada ya bidhaa zake za nywele,Jokate  ame amua kuja na ndala zikiwa na picha yake ziki enda kwa jina la kidoti.


  Licha ya star Kidoti kuwa maarufu sana ila haendekezi kuongwa na wanaume kama ilivyo kwa mastaa wengine ama wasicha wengine walivyo bali ana amaini kwenye kutafuta kwa nguvu zake mwenyewe na kupitia njia za halali.

 Hiz ndizo bidhaa zenyewe za ndala zenye picha yake.


Nahii ndio post yake aliyo ipost insta gram kutangaza bidhaa zake.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...