• Home
  • About

Real madrid yaibuka kifua mbele dhidi ya Bayern munich..

  Real madrid usiku waku amkia leo wame weza kuibuka kifua mbele dhidi ya bayern munich baada yakuifunga 1-0.Mchezo huo ulio chezwa katika Uwanja wa Santiago BernabĂ©u, Madrid huku bao hilo pekee likiwekwa kimiani na mshambuliaji Karim Benzema dakika ya 19 ya kipindi cha kwanza!
Karim Benzema (kushoto) akiifungia Real Madrid bao pekee. Kulia ni mchezaji wa Bayern Munich, David Alaba.
Wachezaji wa Madrid, Pepe (kushoto) na Sergio Ramos (katikati) wakiondosha hatari langoni mwao.
Cristiano Ronaldo (katikati) akiwania mpira na Alaba (wa pili kushoto) na Dante.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...