• Home
  • About

Young D,Meninnah atik ndani ya Campus night show ijuma hii..

Rapper Young D akishirikiana na mwana dada kutoka kundi la Shostizo Meninnah Atik wata tumbuiza kwenye show ya 'Billicanas compus night' itakayo fanyika katika ukumbi wa Billicanas club ijumaa hii.
 Aki eleza mratibu wa show hiyo  Raheem Da Prince ambae pia ni brand maneger wa swahili nation, Ame sema katika show hiyo wata chaguliwa walio pendeza zaidi wata pewa zawadi mbalimbali kutoka Bilicanas,Swahili nation na duka languo la Cp jembe amabapo kiingilio itakua Tsh:10,000

 Reheem ambaye pia atakua host wa show hiyo,ana sema dhima ya campus night ni kuwa kutanisha wana funzi wa vyuo mbalimbali vya jijini Dar es salaam kuburudika pamoja baada ya masomo.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...