• Home
  • About

Hiki ndicho kinacho mfanya Diamond asi banduke kwa Wema...

Msanii star wa muziki wa bongo flavour Naseeb abdul a.k.a Dimond platnumz ame eleza kua kitu kinachio mfanya asi banduke kutoka kwa Wema mtoto wa Sepetu ni mapishi yake,Dimond ame sema kua
 "Wema na mpenda kwa mengi ila moja wapo ni mapishi yake ana jua kupika sana kama ilivyo mwana mke mapishi".

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...