• Home
  • About

VIDEO | Ommy dimpoz ft Ally kiba - Kajiandae


 Ommy Dimpoz ame achia nyimbo yake mpya KAJIANDAE akiwa kamshirikisha Ally kiba kwa mara nyingine baada ya kupita miaka minne ya ngoma waliyo fanya pamoja Nai nai. Audio ime fanywa na Ema the boy, Video iki tengenezwa na Jastin campos. Chukua time yako kuitizama... hapa.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...