Mshindi wa shindano la BSS 2015 Kayumba Juma ameachia picha za matukio mbalimbali wakati akirekodi video yake ya wimbo ‘Katoto’.
Ikiwa ni siku mbili toka muimbaji huyo aachie video hiyo aliyofanya
na director Justin Campos wa nchini Afrika Kusini, ameamua kuachia picha
mbalimbali za matukio ya uandaaji wa video hiyo.
Post a Comment
LEAVE YOUR COMENT HERE...