• Home
  • About

Michelle Obama awashirikisha Missy Elliott, Kelly Clarkson, Janelle Monae na Kelly Rowland kwenye wimbo ‘This Is For My Girls’


 

Sio jambo la kawaida kusikia Mke wa rais ameimba wimbo, lakini Firstlady wa Marekani Michelle Obama ameingia studio na mastaa wengine wa kike kutengeneza wimbo alioupa jina la ‘This is for my girls’

Wimbo huo ambao umeandaliwa kwa jili ya kutengeneza nafasi kwa wasichana zaidi ya Million 62 duniani ambao hawajapata nafasi ya kupata elimu umeandikwa na Diane Warren akishirikiana na Missy Elliott, Janelle Monaé, Kelly Clarkson, Kelly Rowland, Lea Michele, Jadagrace and Zendaya na wengine.
Huu ni wimbo wa pili wa Firstlady huyo wa Marekani, wa kwanza ulikua “Go to College”.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...