• Home
  • About

Avril afiwa na baba yake mzazi..

Muimbaji wa Kenya, Avril, amefiwa na baba yake mzazi Mr.Mwangi Jumanne ya wiki hii.

Tovuti ya Tuko ya nchini Kenya imeripoti kuwa baba yake alifariki kwa ugonjwa wa moyo uliomsumbua kwa miaka mingi. Umedai kuwa alipata mshtuko wa moyo wiki chache zilizopita na kulazwa kwenye wodi ya wagonjwa mahututi. Aliruhusiwa baada ya kupata nafuu.

Avril amepost picha hiyo chini na kuandika: Rest Now..
12328083_1694237780851618_464460390_n

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...