• Home
  • About

Wiz khalifa ahamishia ugomvi wake na Kanye Jukwaani

Vita yaWiz Khalifa  na Kanye West haijaishia Twitter peke yake...

Wiz aliyepo kwenye ziara ya Amerika ya Kusini alitumia fursa hiyo kumchana Yeezy jukwaani. Wakati akitumbuza nchini Argentina, rapper huyo alimtukuna Yeezy live mbele ya mashabiki, “F*ck Kanye!”
Upande wake Kanye aliulizwa na paparazzi wakati akisafiri kupitia LAX na alijibu: I said what I had to say. I ain’t sayin’ nothing else. Don’t ask me no more questions about it.”
Ugomvi wa wanaume hao, ulinunuliwa pia na mpenzi wao wa zamani, Amber Rose aliyemchana Kanye kwa kumuingiza mtoto wake kwenye beef hiyo.
Alisema: I would never talk about kids in an argument. It just shows what type of person he is. Even him saying stuff about my son, I still didn’t say anything about his kids. I’m not going to. It’s just ridiculous. They’re innocent babies. You don’t ever, ever talk about a baby—ever. That just shows how fu**ing ridiculous he is.”

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...