• Home
  • About

Tarehe yaku anza season 2 ya Empire ime tajwa hii apa...

 Kwa wale mashabiki wa series ya kimarekani iliyo jizolea umaarafu mkubwa mwaka huu ya Empire hii ina wahusu, Tarehe yaku anza kwa msimu wa pili wa series hiyo teyari ime wekwa wazi .

 Co-Staring wa Empire Taraji P Hanson maarufu kwa jina la Cookie alilo tumia kwenye series hiyo . Ame share na followers wa twitter tarehee ya kutoka kwa msimu wa pili ambayo n September 23 . 2015.


 Miongoni mwa mastaa walio tangazwa kuonekana katika msimu huo wa pili ni pamoja na mchekeshaji Chris Rock, Mwana muziki Alicia keys na Lenny kravitz, kwa mujibu wa mtandao wa access Hollywood , Msimu huo wa pili una tarajiwa kua na Episode 18 badala ya 8 kama ilivo kua kwenye ya kwanza yenye episode 12.empire1
 Series hiyo ime kua gumzo kwa muda mfupi tangu ilipo toka January 7 2015, Sio tuu marekani bali pembe zote za dunia..
  Empire ime chezwa na Lucious(Terrence Howard) akiwa kama mmiliki wa label ya muziki ikiwa na jina la Empire , akiwa na wa toto wa tatu Andrey(Trai byeres) , Jamal(Jussie smollet) ambae ni shoga ila ana kipaji kikubwa cha muziki . na wa mwisho Hakeem(Bryshere Gray) ambae ni Raper . Pia Cookie(Taraji P Hanson) ambae ni mke wa lucious na mama wa wa toto hao wa tatu..

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...