• Home
  • About

Mwaka wa kutoka Fast Furious 8 wa tajwa...


Baada ya Fast and Furious 7 sasa kinacho subiriwa ni Fast and Furious 8 ambayo teyari imesha tangazwa ita toka lini.. Vindiesel  amabaye ni moja wa wahusika wa kuu katika movie hiyo ali post picha kupitia ukurasa wake wa insta gram  iki onyesha nilini movie hiyo ita toka.. Movie hiyo ina tarajiwa kutoka mwaka 2017 .
Macho na masikio yakae teyari kwa kuisubiri movie hiyo ikiwa ni mwendelezo wa zingine zilizo pita Fast Furious 1 hadi ya 7 ambayo ime toka mwaka huu...
fast 8 2

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...