• Home
  • About

Jamal wa Empire huenda aka tembelea Africa

 Mmoja wa mastaa wa series ya kimarekani inayo fanya poa sana Empire  toka ilipo toka mwanzoni mwa mwaka huu Jussie Smollett (Jamal) kupitia ukurasa wake wa twitter ame andika hamu yake ya kutembelea nchi za Africa zikiwemoSouth Africa, Kenya, Nigeria,na nyinginezo...


 Hii apa twit yake..
jussie_smolle.jpg

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...