• Home
  • About

Video: Filamu ya Van Vicker na Wema coming soon

 Filamu ya Van Vekeer aliyo ifanya na Wema sepetu ina tarajiwa kutoka mwez wa tisa ( september ). Filamu hiyo iliyo pewa jina la 'After death' ikiwa ime fanyiwa nchini Ghana chini yake Van Viker ina tarajiwa kuzinduliwa Jijini Dar es salaam mwezi huo.
 Wema aki ongea na Bongo5 ame sema
  "Tuna plan ku lunch   movie yetu mwezi wa tisa, Kanambia akija he is going to stay for another two weeks na anategemea tuta fanya shoot nyingine huku huku"
Wema ame dai ame furahia kufanya kazi na VanVeeker.
  Msikilize hapa.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...