• Home
  • About

Sikiliza mahojiano ya Diamond Platnumz katika idhaa ya BBC Africa kwa kiingereza.

 Diamond ame itumia ziara yake nchini Uingereza kufanya interview na media kadhaa zikiwemo za Idhaa ya BBC uingereza. Hii ni moja ya interview na mtangazaji Jenny Horrocks wa BBC Africa.


Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...