• Home
  • About

Tiptop Connection kumshirikisha Diamond Platnumz kwenye hiki..

Kundi la wasanii wa manzese TipTop Connection wame mshirikisha Diamond Platnumz kwenye nyimbo yao mpya ya 'Kime nukaga' wanayo tarajia kui achia miez ya hivi karibuni, Aki ongea na bongo5.com mkuu wa kundi hilo Madee Aly ame sema kua kila kitu kimesha kamilika kwa asilimia 80%, kabla yakutoka kwa kazi hiyo kwanza wasanii mbali mbali wa kundi hilo wata achia kazi zao.
 "Wasanii wote wa Tiptop wamesha ingiza sauti zao pamoja na Diamond kwa sasa kazi ime baki kwa producer na baada ya hapo tuta fanya video ili zitoke pamoja" Alisema Madee.

 "Kwasa hivi target yetu ni nje hivyo lazima tufanye kweli" Ali sisitiza madee.
 "Kazi ina itwa kime nukaga na ina tegemewa kutoka mwezi ujao , sema sasa kuna wasani wa Tiptop kama Raymond huu ndio wakati wake na kuna wengine pia wana kazi zao".

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...