• Home
  • About

Ray kuja ki international mwaka huu..

 Msanii wa filamu zaki Tanzania na mkongwe pia Vincent kigosi ame sema kua mwaka huu ame plan ku fanya asilimia 90% ya kazi zake International nasio hapa nyumbani kama alivyo zoeleka. Aki ongea na mtandao mmoja hapa Tz ame sema kua.
  "Nime panga kufanya mambo mengi mwaka huu, Lakini mwaka huu movie zangu zote ni tafanyia International sito fanya movie yeyote hapa hapa kwa sababu kama hapa nisha fanya sana, Kwahiyo movie zangu zote ntakazo cheza mwaka huu 90% nta cheza nje, Kwahiyo kama kutakua na lolote litakalo badilisha nita wa julisha, ni mapema sana kusema lakini kitu ambacho naweza kuweka wazi ni nita anza kazi na Ghana na Nigeria , ndani ya mwezi wa nne nadhani kazi zitakua zime anza".
 

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...