• Home
  • About

Madee vuvula haiku mchana tuu Chidi hata Uncle nae kachanwa ' Hao mamiss wazee kama vipi mwaka kesho na mleta bibi yangu agombee'

 Nyimbo mpya ya Madee Vuvula haiku mchana Mfalme wa ilala Chdi benzi tuu bali wamo na wengine, Katika moja ya mistari ya nyimbo hiyo upo mstari ulio imbwa  'Hey anko Lunde, hao ma miss wa zee kama vipi mwaka kesho na mleta bibi yangu agombee'

 " Kuna tatizo lili tokea lilipita kuhusu ma miss nini, so nime jaribu kumu elewesha mtuu ambae ni vuvula aja ribu kuwa makini badae akiwa ana sajili ma miss wake" Ali sema Madee alipo kuwa aki elezea maana ya wimbo wake .
 Madee aliwahi ku sema maana ya vuvula kupitia moja station kua ni "Mtu mshamba ambae haji elewi"
 Madee ana maanisha Anko Lundenga ni Vuvula LoL!

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...