• Home
  • About

Audio: Niki mbishi amjibu Nay kwa free style..


Niki mbishi ame mjibu Nay wa mitego baada yaku mchana kutokana na kutangaza kuachana na muziki. Niki mbishi ame mjibu Mr.Nay kwa  njia ya freestyle . Kwenye free style hiyo niki  ame sikika aki sema "Hakuna ku sanda kukaza mpaka A to zii, Mna ongelea aka dumba how is Nay to me". Zaidi listen hapaa..

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...