• Home
  • About

Hamisa mabeto na mchumba wake soon kurajia mtoto...


 Leo tarehee 10 ni siku ya kuzaliwa ya mwana mitindo Hamisa Mabeto maarafu hapa nchini na mpenzi wa mmoja wa wakurugenzi na pia dj wa kituo cha redio cha E-fm kinacho rusha matangazo yake jiji Dar es salaam  Dj Majey.

Hamisa-na-Majay
 ikiwa ni siku yake ya kzaliwa mwana mitindo huyo Dj Majey ame post ujumbe unao inyyesha kwamba wana tarajia kupata mtoto muda si mrefuu.. kupitia Instagram yake ali andika.

" Happy birthday to my baby mama. May almighty god protect you and our unborn baby. You boys love you very much"

 Nae Hamisa aliweza ku mjibu kwaku comment
" Awww ilove you my love and thank you"
majey insta

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...