• Home
  • About

Hiki ndicho kipya kikubwa kingine kutoka kwa Wema Sepetu..

Van-Vicker-3
Meneje mkuu wa kampuni ya Endless fame na X girlfriend wa Diamond Platnumz Wema sepetu ame safiri hadi jiji Accra nchini Ghana kwa ajili ya kutengeneza filamu mpya ya Vann Vicker ambae ni moja ya wasanii wa kubwaa Ghana na  Africa kwa sasa. Filamu hiyo ina ongozwa na yeye mwenyewe Van Veeker . Filamu hiyo ambayo ina beba jina la Day after deth wema ana cheza kama muhusika mkuu aki shirikiana na Van Vaker pia kama mhusika mkuu. Kupitia Insta gram Van veeker aliweza kuandika kua
  “#MyNextBigThing I am excited abt our Ghana Tanzania collaboration. You finally landed. Today was day 1. Good stuff. I love the way you are passionate abt what you want and u get it done. Enjoy workin with you. watch for Day After Death (D.A.D) #DayAfterDeath starring Wema @wemasepetu and me van vicker. I am directing again ya’ll and acting. It’s challenging but I love the challenge. Hey it’s my daughter’s j’dyl debut in films as an actor,”

Van-Vicker-2
Ndani ya filamu hiyo pia ata kuwapo mtoto wa kike wa Van veeker . Hata hivyo Van veeker hakuacha kumsifia wema sepetu kwa anavyo zitendea haki sceen za movie hiyo na upachaji wake wa kazi  kwa kuandika.
“Watch out for #DayAfterDeath (D.A.D) starring @wemasepetu and myself..#DirectorMode Tanzania and Ghana goin on the map for this award winning thriller,”
Van-Vicker-1

 


Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...