• Home
  • About

Sauti souls wa mpongeza Diamond.

 

Wasanii tokea Kenya wanao unda kundi la Sauti souls kupitia ukurasa wao wa twitter wame mpongeza Diamond Platnumz kwakuchukua tuzo 3 za Chanel O nchini South africa.
sauti 1

sautisol
Wakiwa wakilisha tuzo kwa Tiwa savage tokea Nigeria juzi nchini South Africa.

Diamond akiwa na tuzo 3 alizo shinda channel O

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...