• Home
  • About

BIG BROTHER : Josse chamilion aungana na wa Tanzania kuhamasisha kumpigia IDRIS kura BBA Hotshot.

 Shindano kubwa la Africa linalo fahamika kwa jina la Big brother Africa Hotshots lime fikia katika hatua muhimu sana ikiwa lime bakiwa na wa shiriki nane huku East africa ikiwa ina wakilishwa na Idriss tokea tanzania. Washiriki tokea Kenya na Uganda wame weza kuaga shindano hilo hivi karibuni. Katika hilo msanii  mkubwa tokea nchini Uganda Josee chamelion ameweza kumpigia kampeni mwakilishi huyo pekee wa East Africa Idris tokea Tanzania ili aweze kushinda katika shindano hilo kupitia Insta gram. Chamelion ameweza kua mfano bora kwa kinacho takiwa kufanyika kwa sasa hivi na wana Africa mashiriki wote.

 Hiki ndicho alicho ki andika
 "Let's VOTE for #IDRIS Tanzania . The victory Belongs to East Africa!!!! Let's VOTE #BBA HOTSHOTS legoooo."
chameleone idris

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...