• Home
  • About

TID ampigia promo Diamond kwenye tuzo za Afrima..


 Msanii Tid ame weza kumsapoti Diamond kwenye tuzo za afrima kwaku post ujumbe na picha kwenye ukurasa wa Instagram aki sisitiza Diamond kupigiwa kura .
 "Leta mzigo home achana na mafala, U got my back."
 Swali lakuji uliza hao maf*la ni akina nani?

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...