• Home
  • About

Avril kuja na ngoma nyonigne 'Niki muona'


Avril ana tarajia kuachia wimbo wake mpya unao enda kwajina la 'Niki muona' . Avrill kutokea Kenya amesema "navunja ukimya leo kwa kutoa wimbo mpya alioupa jina 'Nikimuona' Wimbo huu unatoka 03/10/2014, utaanza kusikika Kenya na baadae kusambazwa Africa Mashariki.Nyimbo za Avril za awali ni pamoja na Mama, Kitu Kimoja na Chokoza". Ali sema mashabiki wake wa kae teyarui kuusikia ujio mpya wa msanii huyo.
 

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...