• Home
  • About

Nisher bybee : 13 Ya young Killa ft Fid Q, Belle 9 itakua bomba kuliko video zote nlizo wahi fanya..

 Muongo zaji wa Video za muziki Tz Nisher hivi karibuni ana tarajiwa kuachia kazi mmpya kutoka kwa wasanii Young killa, Fid Q pamoja na Belle9 iki enda kwa jina la'13' .

s
 Nisher kupitia ukurasa wake wa facebook ame andika kuwa watazamaji wao ingoja kazi hiyo waweze kukaa teyari kwa kazi bora kuliko zote alizo wahi fanya tangu aanze kufanya video directing, Ndani ya video hiyo kutakua na sound effect zaidi ya 90 pamoja na visual effects pia hivyo kwa atakae kua aki isubiri video hiyo awe na kifaa kizuri chaku weza kui tizama video hiyo ki uzuri zaidi na sound iwe nzuri.
D i r e c t o r : Nisher bybee

 "Nikitu tofauti sana na video zangu zote!! Hope you will enjoy#13 #November 13 #Nisher bybee" alisema Nisher bybee

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...