• Home
  • About

Lady Jdee : "Tume ondoa kulia sasa ni Lady jdee and the band"

 Sio jina la lounge tuu lime  badilishwa  kutoka nyumbani lounge kua MOG hivi sasa hadi jina la band yake mwana dada wa muziki Tz Lady Jeydee lime badilika zamani band iki itwa Machozi band na sasa ina itwa Lady jdee and the band.

 "Tume ondoa kulia" Mwana dada huyo ali kiambia kituo cha redio cha Ea ndani ya kipindi cha power jams kiki ongozwa na Sam Misago .
 Katika hatua nyingine lady Jdee ame ongelea wimbo wake wa 'Forever' alio mshirikisha mdogo wake ane fahamika kama Dabo. Wimbo huo ume tayarishwa na producer Man walter chini ya combination sounds.
 "Mwezi wa kumi na moja mwishoni natoa nyimbo yangu mpya pamoja na video. Wimbo una itwa forever nime shirikiana na Dabo mdogo wangu , toka mimi kuzaliwa ana ni fuata yeye. Yeah ni ngoma ya kwanza nilikua na muacha apevuke akue na aji simamie". Ali sema Jdee.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...