Rapper Wiz Khalifa hivi karibuni alifanyiwa Interview na kuzungumzia
kubadilisha mtazamo wa mashabiki na watu ju yake, Wiz anasemaana mpango
wa kubadilisha muonekano wake ili uwe na mzuto wa kibiashara zaidi.
Wiz
anasema “Sitaki tena watu wahusishe muziki wangu na marijuana” kama
unakumbuka mixtape za kwanza za Wiz Khalifa kama ya mwaka 2010 Kush
& Orange Juice.
Wiz
anaendelea kusema “sipendi kuitwa kichwa cha bangi “weed head” na
nataka nifanye kazi bila kuandamwa na mtazamo huo wa kibangi bangi.
Waigizaji wakubwa kwenye filamu hawana muonekano wa kibangi bangi sasa
kwanini mimi niendekeze hii tabia, nitaacha kuimba kuhusu bangi na
mpango wa kuacha kuvuta kabisa, Inaharibu muonekano wangu na mtazamo wa
kazi zangu kwa watu”
Post a Comment
LEAVE YOUR COMENT HERE...