• Home
  • About

BBA : Idriss ashinda kua head of house


Mshiriki mwakilishi wa Tanzania aliyebaki ndani ya jumba la Big Brother Hotshots, Idris mpiga picha kutoka Arusha, Tanzania ameshinda kuwa kiongozi wa jumba 'Head of House' la BBA Hotshots wiki hii.

Mr. 265, Frankie, Nhlanhla na  Idris  walikuwa washiriki katika shindano la Ghandour Putt-Putt Golf Course Tournament kumtafuta kiongozi wa jumba hiyo wiki hii.
Katika shindano aliyepiga mpira mara chache  zaidi ndiye aliyeibuka mshindi na kumpa faida ya kutokuchaguliwa kutoka ndani ya jumba hilo.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...