• Home
  • About

VIDEO : Hiki ndicho alicho kisema TI baada ya ku hojiwa juu ya Ebola Tz


Rapper T.I Baada ya ku dondosha bonge la show Jumamosi ya tare 18 oct , aliondoka Tanzania Jumapili kurudi kwao Marekani kwa ajili ya kuhakikisha mauzo yanaenda vizuri katika album yake mpya ilikua inatoka Jumanne ya October 21.Akiwa NewYork T.I alijikuta yuko mbele ya camera akihojiwa na mwandishi wa habari aliemuuliza kuhusu ishu ya Iggy na Snoop ambayo alisaidia kuimaliza na baada ya hapo akamuuliza T.I vp Tanzania ilikuaje? Ebola je?

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...