• Home
  • About

MWANA F.A: MAFANIKIO YA DIAMOND YANATAKIWA YAWAMOTIVATE WASANII WENGINE KUFANYA KAZI BORA ZAIDI .


Hamisi mwinjuma au Mwana F.A amesema Mafanikio ya Diamond katika Music na Maisha ya kila siku yalitakiwa yawaMotivate  wasanii na watu wengine kufanya vitu bora zaidi na kujifunza kutokata tamaa badala ya kumshindanisha na wasanii wengine, Kwa upande wake amesema Floyd Myweather au Mr.misifa kama alivyomuita,…
  Hamisi mwinjuma au Mwana F.A amesema Mafanikio ya Diamond katika Music na Maisha ya kila siku yalitakiwa yawaMotivate  wasanii na watu wengine kufanya vitu bora zaidi na kujifunza kutokata tamaa badala ya kumshindanisha na wasanii wengine, Kwa upande wake amesema Floyd Myweather au Mr.misifa kama alivyomuita, anampa Hasira ya kufanya kazi kwa nguvu zaidi kwasababu ya sifa zake . Mwana F.A amesema watu hawatakiwi kumjaji mtu kwa vitu vidogo anavyovionesha labda kuna vitu vikubwa zaidi anavyoweza akawa anavifanya na havioneshi kama kusaidia watu na kadharika.

Alipoulizwa kuhusu tukio la kuzomewa kwa diamond siku ya Tamasha la Serengeti Fiesta Mwana F.A amesema ni ajali kazini.
CREDIT TEAMTZ.COM

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...