• Home
  • About

Kifaa kilicho fanan na bomu cha kutwa nje ya clu ya J-Z


Siku ya jana asubuhi kikosi maalumu cha uteguaji mabomu cha NYDP (Newyork police department) kilitumwa kwenda kupima kitu kinachodaiwa kuwa ni bomu.  mtandao wa Newyork daily news umeripoti kuwa kitu icho  kilikutwa nje ya club ya usiku ya rapper jay z  40/40 siku ya jana mapema asubuhi. uchunguzi bado unaendelea kuhusiana na kitu icho ambacho kinadaiwa kuwa ni bomu.
Polisi waki fanya uchunguzi wa kifaa hicho.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...