• Home
  • About

Jokate ampigia chapuo Diamond

 Huku aki andamwa na Jeshi la wana nchi Tanzani a (JWTZ) Diamond Platnumz ameweza kupigiwa promo na  Mtangazaji wa kituo cha chanel O Jokate Mwengelo ambae aliwahi pia kua Girl friend wake hapo nyuma. Mtangazaji huyo ali siki kuwa taka Watanzania kumpigia kura Diamond katika shindano la tuzo ya video bora Afrika inayofanyika nchini Afrika Kusini.

  Alisema Watanzania wanatakiwa kuweka uzalendo mbele kwa kumpigia kura msanii huyo kwani ushindi wake utaisaidia Tanzania kuzidi kujulikana kimataifa katika sekta ya muziki na hata katika masuala mengine ya utamaduni.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...