• Home
  • About

Vanessa Mdee aelezea uwezekano wa yeye kushiriki Big brother, Na apendekeza mtu kushiriki

 Siku ya leo tarehee 11 july ndo usahili wa shindano la reality show ya  big brother una anza ku fanyika kumtafuta nani atae iwakilisha Tanzania kwenye shindano hiilo,

Mara nyingi zinapo fikia siku za usahili mashabiki huweka ubashiri wa mastaa ambao wana dhani wange weza kuwa kilisha kwenye jumba hilo. Vanessa mdee ama Ve money nimoja kati ya mastaa walio tajwa kufaa kama aki wania nafasi hiyo .
 Vanessa ameweza kujibu hivi baada ya kupendekezwa na baadhi ya mashabiki .
 "Nasikitika kuwa ambia wale woote ambao wange penda kuni ona kwenye jumba la Big brother kua haita kaa itokee" Alisema Vanessa nakutaja sababu,
  "Charaacter yangu hai endani naku kaa kwenye nyumba na watu wengi hivyo,Yaani i will be so defeated yaani nta toka siku ya tatu afu ntakua disappointed wale walio kua wana taka niwe pale"
 Licha ya yeye kuto kua na wazo laku shiriki ila ali mtaja mtu ambae ange faa kuweza kuwakilisha. Ali mtaja Rahim Da prince wa TIMES FM

Rahim da prince wa Times Fm
 "Ithink Rahim should try ,Rahim da prince,Rahim i think he understands alot about the world halafu pia ana personality he is very out going so nadhani angeweza kufanya vizuri pale ".
 Lakini pia ali mtaja mtu asiye stahili
 "Nadhani mpoki asiende" LoL!
Usahili wa kuwatafuta wawakilishi wa Tanzania una anza leo (July 11) hadi kesho (July 12) ndani ya New African hoteli jijini Dar es salaam.
                        
   credit | Bongo5

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...