• Home
  • About

Wachezaji hawa ruhusiwi kutumia headphones za Beatz by Dr.Dree kwa msimuu hu wa kombe la dunia..

 Wiki mbili zime pita baada ya kampuni Ya Beatz by Dr.Dre kuachia video ya tangazo lao liki waonyesha wachezaji kadhaa waki tumia head phones za Beatz, Video hiyo iliyo wa onyesha Wachezaji kadhaa kama Neymar, Luiz Suarez,Jozy Altidore na wengine kadhaa nakuweza ku angaliwa kwa mara Million 3.

Wachezaji hao hawata weza kuzi tumia headphones za kampuni hiyo wa kati huu wa kombe ladunia. Hii ni kutoka na shirikisho la mpira wa miguu FIFA kuingia mkataba na kampuni ya Sony na hivyo wachezaji wote wata pewa headphones za Sony bure na hawata ruhusiwa kuonekana na headphones za Beatz by Dr.Dree.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...