• Home
  • About

PHOTOS | Chidi benz kurudi upya na Diamond pamoja na Ay

 Tokea mwanzoni mwa mwaka jana haja sikika tena mkali tokea ilala Chidi benz ama Chuma.Ame rudi tena kwenye game mwaka huu akiwa kutanisha ma star wawili ambao ni enternational artist mmoja akiwa nomine wa BET Diamond platnumz na Ay .

 Jana Chid amepiga story na sammisago exclusively na kuuelezea mfumo wa ngoma yake mpya aliyofanya na wakali hao.

Amesema ni ngoma kali yenye verse 3 ambapo yeye anasimama kwenye verse mbili, AY anainyonga verse 1 halafu mtoto wa Tandale, Platinumz amefanya yake kwenye kiitikio na kibwagizo.

Wimbo huo umetayarishwa na producers watatu, Dully Sykes ambaye amefanya mdundo kwa mara ya kwanza halafu mixing na vocal zimekamilishwa na Tud Thomas na Emma The Boy.

Hata hivyo, jina na tarehe za kuachiwa wimbo huo bado hazijakwa wazi.


Chid ameshare picha mpya kwenye Instagram kuashiria ujio wake:















credit :Sammisago.com

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...