• Home
  • About

PHOTOS | Hii ndiyo gari mpya ya Ney wa mitego

IMG_0514
Mastaa kadha wa bongo wame kua waki onyesha magari yao akiwamo star wa Nakula ujana 'Ney wa mitego'. Ney ame weza kuonyesha gari yake mpya aina ya Nisan Morano 2007 ikiwa ni gari yake ya pili baada ya Toyota Mark X aliyo kua aki imiliki, Japo haja taja moja kwa moja thamani ya gari lake ila aliweza kusema kua ni kama milioni 35 na zaidi ndiyo ameweza kuitumia.
IMG_0539
IMG_0534

IMG_0520
IMG_0510
IMG_0515


Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...