• Home
  • About

Diamond apiga stori na Nelly


 Tukio la BET awards 2014 limefanyika na mambo mbalimbali yalitokea, zaidi ya interview kwenye redcarpet Diamond amekutana na wasanii tofauti. Ameshare picha zake akiwa na msanii Nelly wakionekana kwenye mazungumzo na salamu. Hayo yote yametokea kwenye redcarpet ya BET usiku wa kuamkia leo 30/6.

Hii ni caption ya picha aliyokuwa na Nelly.
n2
n4n3

 Pia ame weza kuweka kwenye ukuurasa wake wa Facebook.







Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...