• Home
  • About

VIDEO | Shikira atoa video ya wimbo wake mpya wa kombe la dunia 2014


Shakira aliye fanya nyimbo rasmin ya kombe la dunia 2010 South Africa (Wakawaka) Ulio pata umaarufu mkubwa, Sasa ame toka tena na video mpya ya kombe la dunia 2014 (Brazill) akiwa kawa shirikisha wana soka akiwamo na mumewe Gerald Pique,Lionel mess,Fabregas,Abidal, Neymar, Jame redrig'uez,Radamel Falcao,Sergio aguero pia akiwamo mwanaye aitwaye Milan ambae pia ana onekana kwenye video hiyo.


Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...