• Home
  • About

Dully sykes kufungua studio mpya kwa ajili ya Live na matangazo

 Prince Dully sykes heat meker wa nyimbo ya Kabinti special ana tarajia kufungua studio yake mpya naku anza kufanya Kazi za live na Matangazo.
 "Nafungua studio kubwa kwa ajili ya matangazo na live" Dully ali iambia clouds FM " Sisemi kwamba hakuna studio bora zipo nyingi tuu,Kwahiyo itakua kati ya hizile studio, Sehemu anapo iamishi ni Tabata bima,wapenzi wangu wa muziki wangu wanao penda kufanya kazi na mimi nita anza live sasa hivi,Kwahiyo nita anza kufanya kazi na mabendi ili kuitangaza biashara yangu" Ali endelea Dully sykes .

 Msani huyo ambae ame timiza miaka  15 tangu aingie kwenye muziki wa Bongo Fleva na ngoma yake ya Julieta ambayo ilihit kwenye redio station zote za hapa nchin,baadaye zikaja Salome,Nyambizi na nyinginezo mpaka leo msanii huyo ameweza kuendelea kuwepo kwenye game ukizingatia ni msanii wa mwanzo wa muziki huo wa bongo fleva.Ndani ya miaka hiyo kumi na tano Dully ana miliki mijengo, ana watoto watatu, ana album mbili za Historia ya kweli 2002, pamoja na Handsome 2003, Hunifahamu 2005.. pia ana miliki magari. Dully Sykes anamiliki studio iitwayo dhahabu records na 1.4 ambayo atafungua pia academy ya production hivi karibuni.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...