• Home
  • About

Ray na Jb Kufanya filamu ya pamoja Uturuki..

  Wakongwe na wa kali wa wili kutoka kwenye tasnia ya filamu Tanzania yaani Bongo movies Jacob steven 'Jb' na Vincent Kigosi 'Ray' kufanya filamu ya pamoja nchini Uturuki, Mmoja kati ya wasanii hao Vincent kigosi alisema kua wame ona kufanya hivyo ili kujua nani mkali kati yao, Ake endelea vincent kigosi alisema kua
 "Mimi nilikua na Movie na Jb tukaona tu fanyie shooting Uturuki Ila kutokana na tukio la msiba wa Adam Kuambiana tuka sitisha zoezi naku amua kutafuta tiketi ya kuja kwenye msiba kama group ila kwabahati mbaya tuka pata tiketi moja tuka jadili kwa pamoja tukaona Jb atuwakilishe".

 Akaendelea Ray .
   " Sisi tuna utaratibu waku fanya kazi pamoja,Zamani nilikua niki fanya na marehemu Steven Kanumba kazi moja ili kupimana ubavu nani mkali zaidi ya mwenzake,Kwahiyo baada ya kufariki Kanumba nika panga na Jb kufanya filamu moja ndo hiyo tunaifanya Uturuki na mambo ya msiba yaki isha tuta rudi Uturuki na kuendelea kufanya. Hii ni moja ya biashara na kuwatendea haki mashabiki wetu wa Tanzania na Africa mashariki kiujumla maana tuna pokea comment nyingi face book Twitter Insta gram kwamba hebu jaribuni kucheza filamu moja Jb na Ray tuweze ona nani zaidi, Tume fanya kazi nyingi kwa kipindi hicho ila kwa kipindi hiki kila mtu yupo juu, Uki angalia Jb ame hit na mimi nipo juu pia kwahiyo tuna hitaji kumtambua nani zaidi ".

Credit | bongo5.com

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...