• Home
  • About

PHOTOS | P-Funk atembelea kaburi la Albert Mangwair ..

  Siku ya jana ilikua ni kumbukumbu ya mwaka mmoja ume timia tangu atutoke Msanii wa muziki Albert Mangwair. Producer aliye wahi kufanya naye kazi kwa kippindi kirefu P-Funk ali enda morogoro aki ongozana na msafara wawatu kadha kwa ajili yaku zuru kaburi lake lililopo kihondo nje kidogo ya mji wa Morogoro.Tizama hapa picha za P-Funk akiwa na msafara katika makaburi hayo.
1959425_765414946832063_749906860521000431_n

10372350_765411693499055_5297944947404480883_n
10410721_765420113498213_2267268576103417070_n

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...