• Home
  • About

Hivi ndivyo walivyo post mastaa kibao juu ya Diamond kuchaguliwa kwenye tuzo za BET

Baada ya Diamond Platnumz kupokea tarifa ya kwamba amechaguliwa kwenye tuzo za BET Awards alishare picha kupitia ukurasa wake wa Instagram, Kupitia acount ya Twitter Diamond Platnumz alipewa taarifa na Bet awards na kupongezwa.




  Hivi ndivyo mastaa tofauti kutokea nchi tofauti kama Kenya walivyo weza ku comment juu ya Diamond .
Soma hapa chini mastaa hawa walivyotweet kupitia acount zao za mitandao ya kija mii.













Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...