• Home
  • About

Aliye wahi kua mwimbaji wa dance Amina Ngaluma aiga dunia,

Mmoja wa waimbaji nyota wa muziki wa dansi waliowahi kutokea hapa nchini Amina Ngaluma amefariki dunia.

Muimbaji huyo alitamba na bendi za Tam Tam na Double M Sound,amefia nchini Thailand alipokuwa akiishi kikazi kwa muda mrefu

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...