• Home
  • About

ADAMU KUAMBIANA KUZIKWA JUMA NNE '20 MAY'

 Adam kuambiana aliye iaga dunia siku ya jana alfajiri ana tarajiwa kuzikwa siku ya Jumanne katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es salaam, Aki ongea mwenyekiti wa Bongo Movie Steven nyerere ame sema kua marehemu ata agwa siku hiyohiyo viwanja vya leaders club,
SAD NEWS : Msanii na muongozaji wa filamu zaki Tanzania Adam kuambiana aiaga dunia..
MAREHEMU: ADAMU KUAMBIANA ENZI ZA UHAI WAKE
  "Habari za mazishi nikwamba marehemu ata zikwa siku ya juma nne tarehe 20 may katika makaburi ya kinondoni, Naku agwa ata agwa siku hiyo hiyo katika viwanja vya leaders kuanzia saa 3 asubuhi mpka saa 9 jioni baada ya hapo tuta elekea makaburini". Alisema

RAISI WA BONGO MOVE: STEVEN NYERE.
Pia Steven nyerere alisema kua marehemu Adam kuambiana alikua aki sumbuliwa na tatizo la tumbo ambayo ndiyo yame daiwa chanzo cha kifo chake
 " Marehemu alikua ana sumbuliwa na tumbo tu,yaani vidonda vya tumbo na hivyo vilivyo tokea" Ali endelea.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...