• Home
  • About

Msanii wa bongo movie ajifungua mtoto wa kiume,

 Msanii wa filamu za bongo na mmiliki wa kampuni ya J-Film 4 Life Jennifer kyaka 'Odama' ame andika kwenye ukurasa wake wa facebook kua ame jifungua mtoto wa kiume.

 "Ni kweli nilikua mjamzito na mpaka sasa tayari nimejifungua mtoto wa kiume,namshukuru sana mungu na mashabiki zangu wote kwa ushirkiano wenu tangu mwanzo mpaka sasa...Nawapenda sana!!!!!!!!!" Ali andika msanii huyo.Jenifer ameweza kucheza filamu kama Pain killer,Jicho langu na nyinginezo.


Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...