• Home
  • About

Marehemu Muhidini ngurumo kabla yakifo chake ali muandikia Diamond nyimbo...

 Star wa my number one Diamond jana akiongea na 255xxl ya clouds fm alisema kua siku chache kabla ya kifo cha nguli wa muziki wa dance Muhidini ngurumo alikua ame muandikia nyimbo kama shukurani yaku mpa zawadi ya gari mwaka janaa.

 Diamond ali mzawadia gari Mzee ngurumo mwaka jana katika uzinduzi wa video yake ya my Number one.
Platnum ana sema kua siku mbili kabla ya kifo cha nguli huyo ali pewa taarifa hiyo njema na meneja wake Babtale.Lakini kwa bahati mbaya ngurumo ali fariki kabla haja mka bidhi wimbo huo.
 "Juzi juzi kampigia simu babtale na kumwambia kani tungia nyimbo kwa ajili ya shukurani yaku mpa gari naku sema hakua na chakuni lipa zaidi lakini nime mwandikia nyimbo". Diamond alisema
 "Alikua aki mwambia tale na mimi nika mwambia sawa"Diamond ali endelea.

Platnumz ameongeza kuwa mara ya mwisho kuonana na Gurumo ilikuwa ni takribani wiki kadhaa nyuma zilizopita baada ya mwimbaji huyo mkongwe kumsurprise kwa kuhudhuria katika show aliyokuwa anatumbuiza Diamond kwa lengo la kutaka kumwona na kumshukuru kwa zawadi ya gari aliyompatia.
“Mara ya mwisho kukutana naye nilikuwa nafanya show Coco akaja maskini ya Mungu mpaka kwenye show…kama wiki moja nyuma kama sikosei au wiki mbili. Akaja akasema nimekuja hapa kukuona, alipenyapenya hadi akaweza kufika pale…nilivyomuona anakuja ilibidi pale nikatishe show nikamsalimia kidogo halafu nikaendelea na show, halafu baadae nikawa niko nae backstage na nini nikazungumza nae.So akasema nimekuja kukushukuru sana sana sana, akasema ningependa uje nyumbani nikamwambia sawa.”Amesema Diamond.
 Ngurumo ali pumzishwa alipo zaliwa Kisarawe mkoani pwani kijiji cha Masaki.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...