• Home
  • About

Baada ya maneno kusambaa juu ya kundi la Psqure kuvunjika huu ndio ukweli wake..

 Baada ya maneno kuzagaa kwenye mitandao mbalimbali juu ya kuvunjika kwa kundi la Psqure ukweli upo hewani,maneno hayo yali sababishwa na tweet ya kaka yao Jude Okoye ambae ndio anae wa manage kwenye kazi zao za muziki.

 Ila ukweli uliopo nikwamba hawaja wahi kusikia hata mtu akisema juu ya wao kutengana.
“I am too busy to give some wanna be blogger traffic, I don’t know where that report is coming from. Maybe they just want to get traffic to their site. It’s baseless and untrue.” alisema msemaji wa kundi hilo ajulikanaye kama Bayo Adetu...

Inasemekana kuwa tweet hiyo iliyosababisha uvumi huo, ni kutokana tu na kaka yao huyo Jude Okoye ambaye haziivi kabisa na mke wa Peter Okoye aiywaye Lola Omotayo, na wala haikuhusiana na kundi lao la Psquare.

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...