Anza kufuatilia tamthilia mpya kutoka kwa vijana waki Tanzania ikiwa na jina Life on Campus.. Itakua iki ruka hewani kupitia Youtube channeli yao kila siku ya Juma nne na Ijumaa. Ta mthilia hii ime chezwa katika mazingira ya chuo kikuu cha Dare es salam (UDSM). Iki ongozwa na Papushka.
Post a Comment
LEAVE YOUR COMENT HERE...