Idris Sultan amefunguka kwa kuwaonjesha mashabiki wake uhusika aliouvaa kwenye filamu ya ‘Kiumeni’.
Kupitia mtandao wa Instagram, Idris amesimulia kwa kuandika, “Humu
ndani nauza madawa kwahiyo nina mpunga wa kumwaga halafu nipo kitaa,
demu wangu wa zamani anakuja na mwanaume kumtambulisha kwao na kwa hapa
na pale mshkaji anakuja kwangu kapotea, anamlaaaa hamliiiii ??? .”
Filamu hiyo imeongozwa na Ernest Napoleon ambaye ni Rais wa D Street
Media Group na itaanza kuoneshwa March 17 kwenye majumba ya sinema
jijini Dar es Salaam.
Mbali na Idris Sultan filamu hiyo pia imewakutanisha mastaa wa bongo
kama Irene Paul, Muhogo Mchungu, Antu Mandoza, Rashid Matumla na
wengine.
Post a Comment
LEAVE YOUR COMENT HERE...