• Home
  • About

PHOTOS : Roma afunga ndoa na Mama Ivan.

Roma Mkatoliki amefunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi, Mama Ivan.
12501581_597248063764126_1221953107_n
Ndoa yao imefungwa Jumamosi hii na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali akiwemo Kala Jeremiah aliyekuwa best man. Wawili hao wana mtoto wa kiume, Ivan.
Kupitia Instagram, Roma ameandika: Was a beautiful day #9thApril2016 Thanx God Finally A made it. @mom_ivan @mom_ivan #SpecialThanx Asanteni sana ndugu zangu mliokuwa nami bega kwa bega katika kulifanikisha hili. My boss @j_murder_tongwe Tisha sana mzazi. Oi My homie #Kepitein @captaintanzania Asante sana wakwetu. #BabaJonii @adamchomvu Thanx #Blood My men @harakatizabongo asante kwa kuja. My day one partna @kalajeremiah Am speechless bro. Thanx Chief #LeuNyaulawa @timesfmtz #KomandoMwamba @arnoldmadale Oi tisha bablai. My babe @daynanyange love u umejitoa sana mamii.
Tazama picha zaidi:
11373967_1685798288336814_1041099973_n
12501819_1700674243507895_506644386_n
12912267_547928615378984_184766439_n
12912279_826545204156569_585578058_n
12917778_586497538173317_1500480162_n
12917824_1056977704340480_1925755735_n
12918442_624754364344276_1397347654_n

Post a Comment

LEAVE YOUR COMENT HERE...